UHURU FM
TOP 15 YA UHURUFM
01Angekuona - Aslay
02Acha Niende - Barakah Da Prince
03Libebe – Beka Flava
04Show Me – Harmonize & Rich Mavoko
05Anameremeta - Nuh Mziwanda
06Hasara Roho - Darasa
07Main Chick - Maua Sama
08One Day - Nandy
09Umenikamata - Jux
10Unamaliza - Ray C
11Umebadilika - Bright ft Nandy
12Nisaidie Kushea – Jay Mo
13Zezeta - Rayvan
14Maumivu - Oby Mapenzi
15Kisiki - Sam wa Ukweli
RECENTS
MICHEZO
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza mabadiliko kidogo katika mipango yake ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi Rwanda unaotarajiwa kufanyika Jumamosi hii.
July 18, 2017
Read More
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini-TFF, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Selestine Mwesigwa wamerudishwa rumande hadi Julai 31 mwaka huu kesi yao itakapotajwa tena, kwasababu upelelezi haujakamilika.
July 17, 2017
Read More
HABARI ZA JUU
KITAIFA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, UMMY MWALIMU, amesema maambukizi ya ugonjwa wa Homa ya Ini yameongezeka mara mbili ya Virusi vya Ukimwi nchini.
July 28, 2017
Read More
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini-IGP, SIMON SIRO, amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa juhudi zake za kupunguza matukio ya uhalifu yakiwemo ya utekeji wa Magari kwa kiwango kikumbwa.
July 28, 2017
Read More
Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC, imewateua Wabunge Wanane wa Viti Maalumu kutoka Chama Cha Wananchi-CUF, kufuatia kupewa taarifa na Ofisi ya Bunge kuwa Wabunge Wanane wa Chama hicho wamevuliwa Uanachama, hivyo nafasi kuwa wazi ya Ubunge.
July 27, 2017
Read More
UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Twaweza umeonesha hali ya Usalama Tanzania Bara imeimarika zaidi ndani ya mwaka Mmoja uliopita kutokana na kuwepo kwa viashiria Chanya vya hali ya Usalama.
July 27, 2017
Read More
HABARI MPYA
July 20, 2017
July 20, 2017
July 20, 2017
July 19, 2017
July 19, 2017
July 19, 2017
July 19, 2017
July 19, 2017
Previous  1 2 3 4 6 7 8 9    Next     Page  5  of  218