UHURU FM
TOP 15 YA UHURUFM
01Angekuona - Aslay
02Acha Niende - Barakah Da Prince
03Libebe – Beka Flava
04Show Me – Harmonize & Rich Mavoko
05Anameremeta - Nuh Mziwanda
06Hasara Roho - Darasa
07Main Chick - Maua Sama
08One Day - Nandy
09Umenikamata - Jux
10Unamaliza - Ray C
11Umebadilika - Bright ft Nandy
12Nisaidie Kushea – Jay Mo
13Zezeta - Rayvan
14Maumivu - Oby Mapenzi
15Kisiki - Sam wa Ukweli
RECENTS
MICHEZO
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio vya mchezo kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Botswana utakaofanyika Jumamosi Septemba 2, mwaka huu.
September 01, 2017
Read More
Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeanza kujifua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
August 29, 2017
Read More
HABARI ZA JUU
KITAIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa mkoa wa Pwani waboreshe miundombinu ya maeneo waliyoyatenga kwa ajili ya ujenzi wa viwanda ili waweze kuwavutia wawekezaji wa nje na ndani.
September 19, 2017
Read More
Ujerumani imeipatia Tanzania kiasi cha Euro milioni 198.5 sawa na Sh. Bilioni 520.86 zilizotumika kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo ya Maliasili na Mazingira, Afya, Maji, Nishati, Udhibiti wa Fedha za Umma (Good Financial Governance) na Kusaidia Huduma za Wakimbizi katika mkoa wa Kigoma, katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
September 18, 2017
Read More
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na ushahidi wa upande wa utetezi dhidi ya kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji kwa kuwa Hakimu anayeendesha kesi hiyo anamajukumu mengine ya kiofisi.
September 18, 2017
Read More
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) kuzungumza na Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
September 18, 2017
Read More
HABARI MPYA
September 15, 2017
September 15, 2017
September 15, 2017
September 14, 2017
September 14, 2017
September 14, 2017
September 14, 2017
September 14, 2017
Previous  1 3 4 5 6    Next     Page  2  of  242