UHURU FM
TOP 15 YA UHURUFM
01Natamba - Aslay
02ZaiiD - Wowowo
03Mahabuba - Nandy ft Aslay
04Sometimes - Baraka da Prince
05Papa - Gigi Money
06Upo Hapo - Mwana FA, AY ft Fid Q
07Hallelujah - Diamond Platinumz
08Kibamia - Rostam Ft Maua Sama
09Ntakufilisi - Queen Darling
10Bomberdier - Dully Sykes
11NiCome - Weusi
12Nabembea - Lameck Ditto
13Double Double - NyanduTozzy ft Young Dee & Chin Bees
14Seduce Me - Ali Kiba
15Bata - Jay Moe
RECENTS
MICHEZO
KOREA Kaskazini imesema kuwa itatuma ujumbe wake katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi 2018 inayotarajiwa kufanyika Korea Kusini mnamo mwezi Februari kulingana na mji wa Seoul.
January 09, 2018
Read More
DROO ya raundi ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) inachezeshwa kesho Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32.
January 04, 2018
Read More
HABARI ZA JUU
KITAIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara ambao umedumu kwa miaka mitatu.
January 17, 2018
Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuchukuliwa hatua dhidi ya viongozi na watendaji ambao shule za msingi na sekondari zilizopo katika maeneo yao zinawatoza wanafunzi michango mbalimbali kinyume na muongozo uliotolewa na Serikali wa utoaji wa elimu bila malipo.
January 17, 2018
Read More
Zaidi ya Maafisa 300 wa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na Itifaki wa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi na Wakala wa Serikali, wanatarajia kushiriki katika kikao kazi chenye lengo la kuwajenga Maafisa kuwa na uwezo wa kutangaza shughuli mbalimbali za Serikali.
January 16, 2018
Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam PAUL MAKONDA leo amefanya Zara ya kukagua Maendeleo ya Ukarabati wa Mabasi 11 ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
January 16, 2018
Read More
HABARI MPYA
January 17, 2018
January 17, 2018
January 16, 2018
January 16, 2018
January 16, 2018
January 16, 2018
January 16, 2018
January 16, 2018
2 3 4 5    Next     Page  1  of  293