UHURU FM
RECENTS
September 21, 2016
MICHEZO
WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatarajiwa kucheza mechi ikiwa na lengo la kuchangia wahanga wa tetemeko la ardhi mkoa wa Kagera.
September 20, 2016
Read More
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Nchini TFF limeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Milioni 250 na Benki ya Diamond Trust kwa ajili ya udhamini wa ligii kuu ya Vodacom.
September 19, 2016
Read More
HABARI ZA JUU
September 28, 2016
KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.
September 29, 2016
Read More
WAKALA wa uuzaji wa mafuta kwa pamoja Petroleum Bulk Procurement Agency imedhamiria kuhakikisha bei ya mafuta nchini inashuka kwa kiwango kikubwa hasa baada ya kuanzisha utaratibu mpya wa kuwa na zabuni kwa kila meli inayoleta mafuta nchini.
September 29, 2016
Read More
PATO la Taifa limeendelea kukua kwa asilimia 7.9 katika kipindi cha mwezi Aprili hadi Juni 2016 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 5.8 katika kipindi kama hicho mwaka 2015.
September 29, 2016
Read More
RIPOTI ya Utafiti Mpya wa Taasisi ya Twaweza iliyozinduliwa leo jijini Dar es salaam, imeonesha kuwa Asilimia 58 ya Watanzania waliohojiwa wamesema kwamba nchi haiendeshwi Kidikteta.
September 29, 2016
Read More
HABARI MPYA
September 29, 2016
September 29, 2016
September 29, 2016
September 29, 2016
September 29, 2016
September 29, 2016
September 29, 2016
September 29, 2016
2 3 4 5    Next     Page  1  of  97